Mrembo muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Micheal maafuru Lulu ameonyesha picha zake mpya akiwa mjamzito.
Lulu ambaye ni Mke wa Mmiliki wa Kituo cha Television cha Tv E na Efm amekuwa akishika vichwa vya habari kutokana na aina za picha mpya ambazo amekua akiziachia.
Ambapo Kutoka kwenye ukurasa wa instragam wa @elizabethmichaelofficial amepost picha mpya akiwa mjamzito ambazo zimewaacha mashabiki wake wakijiuliza ni kweli ni mjamzito au ?





Leave a Comment