Breaking News

About Us

SWAHILI
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea  www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu.
Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao.
Kwa ufupi kabisa hiyo  ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

ENGLISH
This is a Tanzanian website that runs its activities in Tanzania under the management of NGOMBOZI MEDIA COMPANY. This site gives you the opportunity to know and download new and old Bongo flava songs, India, as well as Movies. There is a lot about entertainment in general when you visit www.ngombozi.com. It doesn't end there, this website is improving its services and moving them closer as the days go by.
The belief of many leads them to believe that the attention shown by the management team of this website will make it more popular while moving the service closer to customers, especially music lovers who prefer the use of the Internet. 
In short, that is Ngombozi media, a music website that operates its services in Tanzania.

3 comments: