NEWS

Mbwana Samatta arejea KRC Genk Ya Uturuki

Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Ally Samatta amejiunga na Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji akitokea Fenerbahçe ya Uturuki.

Samatta alipata mafanikio makubwa alipoichezea GENK ya Uturuki mwaka 2016 hadi 2020, baada ya hapo alijiunga na klabu ya Aston Villa ya England.

Related Post  Chanzo Cha Tanzania Kukosa Internet Ya Mitandao Yote May 2024