Je!? Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2024 Yametoka
Mtihani wa Kitaifa wa kidato cha nne Mwaka 2024 ni miongoni mwa mitihani yenye uzito mkubwa katika elimu ya nchini Tanzania, Je!? Matokeo ya Kidato Cha Nne Mwaka 2024 yatatoka lini Au Tayari Necta Imeyatangaza!?
Matokeo haya ya mtihani huu hutumika kupima kukidhi vigezo vya Wanafunzi;-
- Kujiunga na kidato cha tano
- kujiunga na kozi za stashahada,
- Kufungua fursa nyinginezo za kitaaluma kiufundi kwa wahitimu.
Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2024 unaojulikana rasmi kama Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya November. “Matokeo Haya Ya Form Four (IV) 2024 Yatatangazwa lini?”
Ambapo hii ni hatua ya mwisho kwa Wanafunzi wa Kidato cha nne 2024 waliokamilisha miaka minne ya elimu ya sekondari.
No comments