Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024/2025
Orodha ya Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo 2024-2025
Takribani Wahitimu 188,787 kati ya 197,426 waliofaulu mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023/2024 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano pamoja na vyuo mbalimbali nchini Tanzania msimu wa mwaka 2024-2025.
BONYEZA MKOA HUSIKA HAPA
ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
GEITA | IRINGA | KAGERA |
KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
LINDI | MANYARA | MARA |
MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
MWANZA | NJOMBE | PWANI |
RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
TABORA | TANGA |
KUMBUKA : Muhula wa Kwanza unatarajiwa kuanza Julai 1 Mwaka 2024 kwa waliochaguliwa kidato cha tano 2024 , Na kwa waliochaguliwa kwenda Vyuo, Watapewa Maelekezo Maalumu ya namna ya Kujiunga Na Vyuo Hivyo.
No comments