Hot Widget

Type Here to Get Search Results !

Hizi Hapa Sababu Za Mwakinyo Kupigwa na Liam Smith (+VIDEO)

Mwakinyo Aelezea Sababu Za Kushindwa Pambano Dhidi Ya Liam Smith. Pambano hilo limekamilika kwa Mtanzania Hassan Mwakinyo kupoteza pambano lake kwa TKO katika raundi ya nne dhidi ya Muingereza Liam Smith.

Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo jana Jumamosi alipigana na bondia Mwingereza, Liam Smith kwenye Ukumbi wa M&S Bank Arena jijini Liverpool.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad