About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Downoad Audio : Alikiba - Wosia Wa Magufuli Mp3

Downoad Audio : Alikiba - Wosia Wa Magufuli Mp3
Share it:


Maneno Mazuri Uliyotuachia ni hotuba hii, ambayo Ulituambia Tutakukumbuka kwa Uliyoifanyia Nchi Yako, ulijitoa Kwa yote Kuiletea Nchi yako Maendeleo. Ulisisitiza Mshikamo, Tusibaguane Kwa Dini wala Ukabila. Mimi Kijana wako Natumia Maneno Yako Kukuenzi, na Kuwasisitiza Watanzania Wenzangu Kuyafanyia kazi yote uliyotuambia. Allah akuweke mahala pema Peponi Baba JPM.


Share it:

Audio

Post A Comment:

0 comments: